Yuko Wapi Huyu?

Yuko Wapi Huyu?

Chifu Songea

Member
Joined
Sep 9, 2024
Posts
30
Reaction score
46
Karibuni sana wadau tuweze kujuzana na kufahamishana waliko watu hawa. Pengine waliwahi kuvuma na kuwa watu maarufu katika jamii yetu, ila Kwa sasa hawasikiki tena, na hata kutofahamika wako wapi. Kwa mwenye kujua taarifa zao tuje hapa tujuzane. Mimi naanza na mwanadada wa enzi hizo Stara Thomas. Je, yuko wapi siku hizi?
 
Wanawake hampendani
 
Sijui.
 
Stara Thomas hamna kitu hapo.
Screenshot_20250223-003444.png
 
Back
Top Bottom