Yuko wapi Ige Moyaba wa Twanga Pepeta?

Yuko wapi Ige Moyaba wa Twanga Pepeta?

Tusker Bariiiidi

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2007
Posts
5,551
Reaction score
2,153
Wadau kuna mwanamuziki mahiri aliyevuma sana enzi za 2004 hadi 2006 katika Band ya Twanga Pepeta aliyejulikana kama Ige Moyaba sijamsikia siku nyingi sana! Je kuna yeyote anafahamu alikpo huyu jamaa? kwani alikuwa ananikosha sana akiwa na Banza Stone,Msafiri Diof na Chaz Baba.
 
Huyu alizamia ulaya, kwenye tour ya twanga scandnavia.. Mpaka leo haijulikani hatma yake..
 
Huyu alizamia ulaya, kwenye tour ya twanga scandnavia.. Mpaka leo haijulikani hatma yake..

Safari ya kwenda Stockholm ambayo ilitungiwa hadi wimbo wa Safari 2005, teh teh teh teh...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom