Yuko wapi Jackie Marie aliyeimba Tulia Mpenzi?

Yuko wapi Jackie Marie aliyeimba Tulia Mpenzi?

Grena

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2016
Posts
656
Reaction score
1,553
Habari zenu wakuu,

Huyu mwanadada Jackie Marie alivuma Sana na nyimbo yake Tulia mpenzi lakini tangu hapo hajawahi kutoa nyimbo nyingine Tena. Ni miaka mingi imepita, nadhani hata kizazi Cha Sasa hivi hakimtambui. Natamani kujua social media anatumia jina gani angalau nimfatilie mhenga yule.

Tulia mpenzi inabaki kuwa my all time favorite Kuanzia mistari ya nyimbo Hadi video. Nikipita YouTube lazima niichungulie, Video yake hadi leo inanivutia.
 
Tutulie mpenzi wangu Mimi wako daimaa..wasikutishe kwa maneno Mimi Ni wako mahabubaa....😂😂aiiyeeee...huyu Dada alinikosha na hako ka wimbo...😂😂😂😂😂😂
 
Profile pic yako inaakisi jinsi utavyokua mrembo.
Niliwahi kukutana naye mitaa fulani Oysterbay. Ni mrembo haswa.
 
Profile pic yako inaakisi jinsi utavyokua mrembo.
Niliwahi kukutana naye mitaa fulani Oysterbay. Ni mrembo haswa.
Kama uliye msifia ndio yeye pichani.
Acha kudanganya Mtoto wa Watu. Kwamba ni mzuri?
 
Profile pic yako inaakisi jinsi utavyokua mrembo.
Niliwahi kukutana naye mitaa fulani Oysterbay. Ni mrembo haswa.
Mkuu saivi si atakuwa mMama. Maana enzi za Tulia mpenzi miaka Kama 17 iliyopita alikuwa ni slayqueen
 
Hahaha mkuu Kasomi rudia tena kusoma.
Kwa uelewa Wangu nimegundua umeandika sentensi mbili.

Sentensi ya kwanza ikiwa ni
"Profile pic yako inaakisi jinsi utavyokua mrembo'.

Harafu sentensi ya pili ikiwa ni;
'Niliwahi kukutana naye mitaa fulani Oysterbay. Ni mrembo haswa"

Binafsi nimechukua sentence ya kwanza.
 
Ah! Sawa hiyo sentensi ya pili nilikua namjibu kuhusu mwanadada aliyemuulizia. Sentensi ya kwanza nilikua nam-tease muanzisha uzi.
 
Angekuwa another Ray C ama K lyn, Beautiful and sexy Songtress of bongo flava ☺..
 
Ah! Sawa hiyo sentensi ya pili nilikua namjibu kuhusu mwanadada aliyemuulizia. Sentensi ya kwanza nilikua nam-tease muanzisha uzi.
Na hiyo ya kwanza ndio nime reply kwa kusema unamudanganya kama ni yeye kwenye profile.
 
Melodi ya wimbo wake tuliitumia kutunga wimbo wa wahitimu darasa la 7 miaka hiyo tukautumbwiza huo wimbo kukonga nyoyo za waalimu na wazazi aseee ilifana sana. Yule demu alikuwa pisi kali. Kama angetumia uzuri wake vizuri vick kamata asingekuwa lolote kwake. Yupo wapiiii
 
Si ndio wewe halafu unajitafuta
Habari zenu wakuu

Huyu mwanadada Jackie Marie alivuma Sana na nyimbo yake Tulia mpenzi lakini tangu hapo hajawahi kutoa nyimbo nyingine Tena.

Ni miaka mingi imepita, nadhani hata kizazi Cha Sasa hivi hakimtambui. Natamani kujua social media anatumia jina gani angalau nimfatilie mhenga yule.

Tulia mpenzi inabaki kuwa my all time favorite Kuanzia mistari ya nyimbo Hadi video. Nikipita YouTube lazima niichungulie, Video yake Hadi leo inanivutia.
 
Back
Top Bottom