Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
This is one of the very good and memorable song, unanikumbusha x wangu wa ujana, *****Habari zenu wakuu,
Huyu mwanadada Jackie Marie alivuma Sana na nyimbo yake Tulia mpenzi lakini tangu hapo hajawahi kutoa nyimbo nyingine Tena. Ni miaka mingi imepita, nadhani hata kizazi Cha Sasa hivi hakimtambui. Natamani kujua social media anatumia jina gani angalau nimfatilie mhenga yule.
Tulia mpenzi inabaki kuwa my all time favorite Kuanzia mistari ya nyimbo Hadi video. Nikipita YouTube lazima niichungulie, Video yake hadi leo inanivutia.
LovelyWow, mkuu seems tunatest moja ya mziki. Huu pia Ni my favorite infact hizi nyimbo mbili Tulia na songa mbele zinakuwaga on repeat na nyingine Ile ya Mr Paul chocolate na zuwena .
Huyu dada wa songa mbele V2 Ni mkenya jina lake halisi Ni Thitu Kariba namfatiliaga kwenye social media zake. Yuko hivyo hivyo hajabadilika sema aliacha kuimba.