Kama uliye msifia ndio yeye pichani.Profile pic yako inaakisi jinsi utavyokua mrembo.
Niliwahi kukutana naye mitaa fulani Oysterbay. Ni mrembo haswa.
Hahaha mkuu Kasomi rudia tena kusoma.Kama uliye msifia ndio yeye pichani.
Acha kudanganya Mtoto wa Watu. Kwamba ni mzuri?
Kwa uelewa Wangu nimegundua umeandika sentensi mbili.Hahaha mkuu Kasomi rudia tena kusoma.
Ah! Sawa hiyo sentensi ya pili nilikua namjibu kuhusu mwanadada aliyemuulizia. Sentensi ya kwanza nilikua nam-tease muanzisha uzi.Kwa uelewa Wangu nimegundua umeandika sentensi mbili.
Sentensi ya kwanza ikiwa ni
"Profile pic yako inaakisi jinsi utavyokua mrembo'.
Harafu sentensi ya pili ikiwa ni;
'Niliwahi kukutana naye mitaa fulani Oysterbay. Ni mrembo haswa"
Binafsi nimechukua sentence ya kwanza.
Yeah atakua kwenye early 40's.Mkuu saivi si atakuwa mMama. Maana enzi za Tulia mpenzi miaka Kama 17 iliyopita alikuwa ni slayqueen
Na hiyo ya kwanza ndio nime reply kwa kusema unamudanganya kama ni yeye kwenye profile.Ah! Sawa hiyo sentensi ya pili nilikua namjibu kuhusu mwanadada aliyemuulizia. Sentensi ya kwanza nilikua nam-tease muanzisha uzi.
Profile pic yako inaakisi jinsi utavyokua mrembo.
Niliwahi kukutana naye mitaa fulani Oysterbay. Ni mrembo haswa.
Habari zenu wakuu
Huyu mwanadada Jackie Marie alivuma Sana na nyimbo yake Tulia mpenzi lakini tangu hapo hajawahi kutoa nyimbo nyingine Tena.
Ni miaka mingi imepita, nadhani hata kizazi Cha Sasa hivi hakimtambui. Natamani kujua social media anatumia jina gani angalau nimfatilie mhenga yule.
Tulia mpenzi inabaki kuwa my all time favorite Kuanzia mistari ya nyimbo Hadi video. Nikipita YouTube lazima niichungulie, Video yake Hadi leo inanivutia.