Yuko wapi Jamal Malinzi?

Yuko wapi Jamal Malinzi?

asirudi tuu akae hukouko tuu rohoo inauma Kwao kuna nyasi bandia lkn nyamagana tff haina ela
 
si yupo kagera yeye ndo mweee nyeeekitiii kule chaaa maa chaa sooo kaaa
 
Hana formula kabisaaa, soka limezidi kudidimia tu
 
atapita kwa figisu

nlitarajia atakuja kumpindua leodgar kwenye uongozi Ila yy ndo amekuwa mbovu mnoo!

halafu nimegundua huku kanda ya ziwa hawafai kuwa wakuu wa mamlaka!

Mmmh inwezekna ikawa kweli! Subir nyani ngabu aje akutumie radi
 
Back
Top Bottom