Yuko wapi Jamal Mustapha wa The Story Book (Wasafi)?

Kashaandaa story zote amemaliza Sasa kaenda kupumzika
 
Nadhani ni mapumziko mafupi kabla ya kurudi na ujio mpya ,kuna siku aliwahi kuchapisha akiukiza washabiki wake kuwa aendelee na stori zake ,aache au kitu gani aongeze na kuounguza katika ujio mpya ? tokea hapo akapotea hajarudi tena na stori zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…