Mr simple M
JF-Expert Member
- Sep 18, 2020
- 2,202
- 4,653
- Thread starter
- #61
Legeza code kidogo mkuuDuhh.....kma ni hvyo Dunia imeisha aseehh....
Na km kweli ni choko baasii mtoto analipa dhambi za mama Ake
Maana bimkubwa Ake mshenzi mshenzi sana Wa kitaa!!
Yaani wakiskia mtaani watafurahi balaaa!!
Mama Ake mtata mkamilifu yeye ,tajiri yeye ,kutwa kucha kupeleka watu Polisi,kisa first born wake kazaa na mheshimiwa wa yuleeee after mwenda zake na b4 mwenda zake