Yuko wapi Jamal Mustapha wa The Story Book (Wasafi)?

Yuko wapi Jamal Mustapha wa The Story Book (Wasafi)?

Duhh.....kma ni hvyo Dunia imeisha aseehh....
Na km kweli ni choko baasii mtoto analipa dhambi za mama Ake
Maana bimkubwa Ake mshenzi mshenzi sana Wa kitaa!!
Yaani wakiskia mtaani watafurahi balaaa!!
Mama Ake mtata mkamilifu yeye ,tajiri yeye ,kutwa kucha kupeleka watu Polisi,kisa first born wake kazaa na mheshimiwa wa yuleeee after mwenda zake na b4 mwenda zake
Legeza code kidogo mkuu
 
Amerudi na story ya bange
Nenda YouTube channel ya wasafi utaikuta
Sasa sijui wakat wote aliokaa kmy alkua anakitest kitu ndo aje atoe stor ya uhakika
 
Back
Top Bottom