BSS ni laana, hakuna anayepiga hatua. Ile biashara inamfaidisha Rita Paulsen pekee na ile misukele yake miwili Master J na Salma Jabir
BSS ni laana, hakuna anayepiga hatua. Ile biashara inamfaidisha Rita Paulsen pekee na ile misukele yake miwili Master J na Salma Jabir
muziki sio rahisi kama inavyochukuliwa hata kala jeremiah mwenyew naona hustle zake ndio zimemfikisha hapa,,,, na haimaanishi kwamba BSS inazngua hata ukijaribu kucheki kwa wenzetu kwenye xfactor au american idol sio kwamba mshindi akitoka na kupata recording contract anasumbua, ni wachache waliobahatika kutoka kimuziki