Yuko wapi Jumanne Iddi

Yuko wapi Jumanne Iddi

yahoo

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2011
Posts
3,526
Reaction score
1,409
Alikuwa mshindi wa bss ya kwanza,anaimba bado au?
 
Attachments

  • 1432286860964.jpg
    1432286860964.jpg
    22.6 KB · Views: 710
Kwa mda huu naandka hii comment atakua anangojea lunch somewhere
 
BSS ni laana, hakuna anayepiga hatua. Ile biashara inamfaidisha Rita Paulsen pekee na ile misukele yake miwili Master J na Salma Jabir
 
Maskini. Mziki anaupenda, sijui anakosea wapi!
 
BSS ni laana, hakuna anayepiga hatua. Ile biashara inamfaidisha Rita Paulsen pekee na ile misukele yake miwili Master J na Salma Jabir

Ulitakaje mkuu? Pesa za ushindi hawapewi? Ebu funguka labda kuna tusioyajua
 
muziki sio rahisi kama inavyochukuliwa hata kala jeremiah mwenyew naona hustle zake ndio zimemfikisha hapa,,,, na haimaanishi kwamba BSS inazngua hata ukijaribu kucheki kwa wenzetu kwenye xfactor au american idol sio kwamba mshindi akitoka na kupata recording contract anasumbua, ni wachache waliobahatika kutoka kimuziki
 
Kweli kabisa juhudi zake ndio zingemfikisha mbali mbona wenzake walioshiriki wanaendelea. BSS si pakutokea tu then unaendeleza juhudi mwenyewe yy atakuwa alikuwa anashindania gari.
 
Jamaa yuko kariakoo anauza nguo , pale kwenye maduka karibia na klabu ya Simba
 
Bss ni steppingstone na si vinginevyo sasa huyo anaesema ni laana ipi hiyo?
 
Back
Top Bottom