Yuko wapi kada maarufu wa CCM Lucas Mwamshamba?

Yuko wapi kada maarufu wa CCM Lucas Mwamshamba?

Kuna sehemu niliona wamepost Tanzia ya msiba wa Mzee mmoja ana jina hilo mbele.

Huenda ni Mzee wao ama ndugu yao, hivyo atakuwa kwenye majonzi.

Kama hawahusiani itakuwa amepata dharura iliyomfanya awe nje ya mitandao Kwa muda
 
Nipo ndugu yangu napambana kitaa kumuunga mkono Mheshimiwa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,kwa kuchapa kazi na kujishughulisha na shughuli mbalimbali.

Kazi ni kipimo cha utu.
 
Back
Top Bottom