Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Hana mchongo wowote nimemuona leo Ofisi za UWT Chunya.Mara ya mwisho alionekana makumbusho anachagua chagua masuti na makaunda kisha akaja kuonekana kwa Doto magari anaulizia ulizia spacio itakua kuna mchongo kapata yule
Atakuwa anachambwa....Anayejua huyu bwana aliko atujuze,
Au kalamba Uteuzi sasa analamba asali?
555.
Anayejua huyu bwana aliko atujuze,
Au kalamba Uteuzi sasa analamba asali?
555.
Mimi nipo kupambana mtaani huku .Kaka Luca bana umevaa joho lingine 😹😹😹
Mpozile 😹😹Mimi nipo kupambana mtaani huku .
Kazi ni kipimo cha utu
Hansi.tukumsalifwa Umulungu.Mpozile 😹😹