Yuko wapi Kangi Lugola?

"Polisi akikuomba rushwa mkamate mpeleke kituoni" Kangi lugola
Imagine polisi ana mtutu bullet proof helmet mabuti na yale madude ya kukinga ugoko alafu akamatwe na pimbi apelekwe kituoni
 
Yuko wapi Kangi Lugola? Aliwanyoosha Polisi kwa uonevu. IGP Sirro akaomba msaada Ikulu ili aondolewe uwaziri. Maarufu kama Mabendera ya taifa, huyu jamaa alistahili kuwa waziri wa mambo ya ndani.

View attachment 2564786
Last time nimemuona ilikuwa ni kwenye video anawatahadharisha wadudu kwenye miti yake ya mikorosho. Aliwapa siku 3 wale wadudu wawe wameondoka wenyewe ama wapambane na nguvu na hasira za bwana Kangi na familia yake wakiwa wamejidhatiti vilivyo na dawa hatari sana za kuuwa wadudu waharibifu wa mazao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…