Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 19,411
- 21,938
Kumbe wazee ni wakulima wazuri wa korosho,hata mzee wa Galilaya ni mkulima wa korosho 🏃Last time nimemuona ilikuwa ni kwenye video anawatahadharisha wadudu kwenye miti yake ya mikorosho. Aliwapa siku 3 wale wadudu wawe wameondoka wenyewe ama wapambane na nguvu na hasira za bwana Kangi na familia yake wakiwa wamejidhatiti vilivyo na dawa hatari sana za kuuwa wadudu waharibifu wa mazao