Yuko wapi Katibu Mkuu Kiongozi mstaafu Dkt. Bashiru Ally?

Wakuu huyu Mheshimiwa amekuwa kimya sana.

Yupo wapi Katibu Mkuu Kiongozi mstaafu Dkt. Bashiru.
Alipokuwa juu,alivunja madaraja yake yote,hakutegemea kurudi chini,sasa ukubwa umepotea,Bado anatafuta njia ya kurudi haioni!
Itabidi akatize kwenye mabonde,na nyika,mapori,Ili aweze Kufika alipotoka!
Aombe Mungu tu njiani asikutane na wakola wakamfanya vibaya
 
Haamini hataamini kamwe....Jiwe alimpa kibri cha binadamu akamsahau hata Mola wake.....acha avune alichopanda....mpuuzi mkubwa
Bashiri alipanda nini jamani,I do not see.Kuwatetea Watanzania ndio nongwa.Ajabu sana.Wanadamu hawana jema.Lakini si ajabu,kwa kuwa hata Gadaffi aliwapenda Walibya,lakini hatimaye walimuua.Dunia hii sasa is against good and pro-evil.
 
.....kubadili katiba ili afanye maono yake je?? Sidhani kama angetoka kirahisi....ndio hivyo angekubali kutoka akiwa amejijenga hasa ameweka watu wake kila sehemu nyeti.....miaka 10 asingeguswa Mungu hupanga yake
 
Muda utafika hutaamini utachosikia.....Subiria tufungue pandora muda si mrefu
 
Muda utafika hutaamini utachosikia.....Subiria tufungue pandora muda si mrefu
Hakuna Pandora yeyote,ni ushetani mtupu.Yeyote anayetetea wananchi kwa sasa ni adui,because the Devil rules the World.
 
Wakuu huyu Mheshimiwa amekuwa kimya sana.

Yupo wapi Katibu Mkuu Kiongozi mstaafu Dkt. Bashiru.

Anajitambua. Ni mwanasiaisa na msomi wa sayansi ya siasa.

Yule a naelewa kwamba zama zimebadilika inabidi apotee kabisa kwenye macho ya umma ili aweze kuishi kisiasa.

Siyo kama kina Polepole hajielewi.
 
Yupo pajo na kina halima mdee alio wanunua pamoja na wale wabunge wenye macho makubwa kama taa za samitrela waliopita bila kupingwa
 
Bashiru Mkomavu, mweledi na ni mtiifu. Mengine ni majungu, anapatina bungeni kwa sasa kama una shida nae.
 
Bashiri alipanda nini jamani,I do not see.Kuwatetea Watanzania ndio nongwa.Ajabu sana.Wanadamu hawana jema.Lakini si ajabu,kwa kuwa hata Gadaffi aliwapenda Walibya,lakini hatimaye walimuua.Dunia hii sasa is against good and pro-evil.
Uliwahipo lini kumsikia gadaffi kama ukiwa madarakani lazima utumie vyombo vya dolla ili kuuwa wapinzani chama tawala kizidi kukaa madarakani
 
Bashiru ungetumia dola kubaki na cheo chako cha katibu mkuu kiongozi.

Ulitufundisha mwenyewe kutumia dola kubaki madarakani.
 
Unamjua? Wewe Ni picha halisi ya watanzania. Wivu. Kuwazia Wenzako mabaya. Hiyo Ni stage tu. Kama wewe na maisha yako. Amani ya mtu huwezi itawala wewe. Mana kama Mwalimu wa chuo Tu inatosha kabisa kumfanya aishi. Ulikuwa muda Wake. Sasa muda wa wengine. It’s a normal thing.
 
.....kubadili katiba ili afanye maono yake je?? Sidhani kama angetoka kirahisi....ndio hivyo angekubali kutoka akiwa amejijenga hasa ameweka watu wake kila sehemu nyeti.....miaka 10 asingeguswa Mungu hupanga yake
yule alishakuwa bold dictator mbaye singeliondoka kwa mauaji /atrocities alizokuwa akizifanya au kama ulivyosema angeliweka watu wake , dugu zake hasa kila sehemu nyeti kama CDF, CJ, Speaker, etc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…