JUAN MANUEL
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 7,808
- 16,972
Alipokuwa juu,alivunja madaraja yake yote,hakutegemea kurudi chini,sasa ukubwa umepotea,Bado anatafuta njia ya kurudi haioni!Wakuu huyu Mheshimiwa amekuwa kimya sana.
Yupo wapi Katibu Mkuu Kiongozi mstaafu Dkt. Bashiru.
Itabidi akatize kwenye mabonde,na nyika,mapori,Ili aweze Kufika alipotoka!
Aombe Mungu tu njiani asikutane na wakola wakamfanya vibaya