Hahaha! Kweli uko vizuriHahaa asantee
Sahau kabisa habari ya kukuachaNiache bwana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yupo kwny tangazo la condom sasa
Afadhali umeugundua ukweli kwamba niligundua unanipimaKweli eeh? Nilikuwa nakupima tu nione
Sema neno[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hata sina naisubiria hata mimiTupia kama unayo Jose
Uchoyo huo, unaninyima hadi maneno?Maneno yameniishia
Hahaha! Naheshimu sana nguvu ya mwanamke. Huwa hamshindwi kitu ninyi mkidhamiria. Naunga mkono hoja...Hahaa nitakupa maneno hapa unikabidhi ATM card na vitega uchumi vyoote...hapana chezea maneno ya mwanamke