Yuko wapi Kayumba?

Yuko wapi Kayumba?

Mi mawazo yalikuwa kwa Kayumba Nyamwasa, kumbe wa bongo..sawa .
 
Hahaa nitakupa maneno hapa unikabidhi ATM card na vitega uchumi vyoote...hapana chezea maneno ya mwanamke
Hahaha! Naheshimu sana nguvu ya mwanamke. Huwa hamshindwi kitu ninyi mkidhamiria. Naunga mkono hoja...
 
Hahaha! Naheshimu sana nguvu ya mwanamke. Huwa hamshindwi kitu ninyi mkidhamiria. Naunga mkono hoja...
Sawa basi usiyatake sana maneno yangu tena usiku huu wa manane
 
Back
Top Bottom