Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Huyo Mrope anaitwaNaskia alifariki. Si ndo yule kibonge flan hivi cheupe aliigiza kwenye igizo la Fukuto ITV mamake bi mwenda walikuwa wanaigiza kama watoto wa wachawi.
Kibakuli siku hizi kawa Camera Man.Habarini Wadau,
Leo katika moja ya igizo la hapa nchini nimefanikiwa kumwona Nyamayao, msanii mahiri aliyeanza uigizaji akiwa binti mdogo kabisa ila kwasasa amekuwa mwanamke hasaa.
Baada ya kumwona nikamkumbuka dogo mmoja alikuwa akiigiza naye aliitwa Kibakuli. Mara nyingi waliigiza kama watoto wa Mhogo mchungu na igizo lilirushwa na ITV.
Huyu dogo kapotelea wapi? Bado anaigiza?
Sema picha yake google haipo ila namfahamu jamaa. Kabonge kafupi cheupe na ana matatizo ya macho. Na taarifa za msiba alizirusha zamaradi clouds tv kupitia take one.
MropelaWewe utakuwa unamzungumzia nyampara kama sijakosea...
Mlopelo ndo yule mfupi?Unachanganya Mlopelo na Kibakuli. Mlopelo Marehemu. Kibakuli yupo
Yes, alikua na macho madogooooo, kama haoni vizuri vileMlopelo ndo yule mfupi?
Mfupi na alikuwa kipofu kwao ni wailes kule mtaa boko....Mlopelo ndo yule mfupi?
Ndio huyu?
Sema picha yake google haipo ila namfahamu jamaa. Kabonge kafupi cheupe na ana matatizo ya macho. Na taarifa za msiba alizirusha zamaradi clouds tv kupitia take one.
Huyu Ni mwijaku kabadili Jina tu.
DuuHuyu Ni mwijaku kabadili Jina tu.