Yuko wapi kijana Majaliwa yule muokoaji??

Yuko wapi kijana Majaliwa yule muokoaji??

Ester505

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2020
Posts
793
Reaction score
1,049
Kwa mwenye TAARIFA zake jamani maana alivuma Sana kipindi kile Cha ajali ya ndege, maana inasemekana yeye alisaidia kuokoa watu ndani ya Ile ndege iliyodondokea kwenye maji na akaambiwa akasomee kozi ya uokoaji.
 
Kwa mwenye TAARIFA zake jamani maana alivuma Sana kipindi kile Cha ajali ya meli,maana inasemekana yeye alisaidia kuokoa watu ndani ya Ile ndege iliyodondokea kwenye maji na akaambiwa akasomee kozi ya uokoaji.
Ya ndege sio meli.
 
Alipata zali kusomea mambo ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji.
 
Kwa mara ya mwisho alifanyiwa mapokezi makubwa na RC wa Tanga, nadhani ndiye mwanamafunzo wa kwanza nchini kupokelewa masomoni kwa brass band
 
Back
Top Bottom