Slowly
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 10,589
- 35,268
Napenda kujua aliko huyu mwamba , wakati wa uchaguzi wa kumpitisha mgombea wa CHADEMA huyu jamaa alikuwa Moto Sana alikuwa talk of the town , lakini ghafla bin vuu baada ya kutupwa nje akapotelea kusiko julikana, muda wote wa kampeni sikuona akitoa support yoyote yenye nguvu Kwa mgombea urais wa CHADEMA ambaye hapo mwanzo alidai ni ndugu yake wa damu damu
Baada ya uchaguzi sioni akitia neno lolote na mpaka sasa yupo kimya, au ameshachupa mitaa ya Minnesota kusubiri kuapishwa Kwa rais mpya mteule wa USA , maana mwamba Kwa bata yupo vyema.
Mliopo mtaa wa pili mtujuze mshikaji yupo wapi, tumemis vocal zake bhanaaa.