Yuko wapi Lazaro Nyalandu

Yuko wapi Lazaro Nyalandu

Slowly

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
10,589
Reaction score
35,268
Napenda kujua aliko huyu mwamba , wakati wa uchaguzi wa kumpitisha mgombea wa CHADEMA huyu jamaa alikuwa Moto Sana alikuwa talk of the town , lakini ghafla bin vuu baada ya kutupwa nje akapotelea kusiko julikana, muda wote wa kampeni sikuona akitoa support yoyote yenye nguvu Kwa mgombea urais wa CHADEMA ambaye hapo mwanzo alidai ni ndugu yake wa damu damu

Baada ya uchaguzi sioni akitia neno lolote na mpaka sasa yupo kimya, au ameshachupa mitaa ya Minnesota kusubiri kuapishwa Kwa rais mpya mteule wa USA , maana mwamba Kwa bata yupo vyema.

Mliopo mtaa wa pili mtujuze mshikaji yupo wapi, tumemis vocal zake bhanaaa.
 
Huyu jamaa yeye kakubali kushindwa kaachana na ulaghai wa akina Tundu na Mbowe
 
Nouma Sana , au yupo na mtoto mzur sehemu , mana hata kwenye kikao cha kuannounce maandamano hakuwepo kabisa
Nyalandu Hana siasa za kinafiki za kina Lissuu...na wale jamaa wengine wa ile Saccos
 
Back
Top Bottom