Yuko wapi Linda?

Yuko wapi Linda?

ladyisa

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2014
Posts
660
Reaction score
148
Yuko wapi Linda, msanii wa mchezo wa luninga uitwaoTausi.

Nimemkumbuka sana huyu binti nadhani sasahivi atakuwa ni mtu mzima na mrembo sana.
 
Watu wengine hawasisimshi hata ubongo ili tuwaongelee duu samahaninii napita tu
 
Back
Top Bottom