Yuko wapi Lisa Jensen, aliyekuwa Miss Tanzania namba mbili 2006?

Kama kilikuwa kibwana mdogo ilikuwaje ukashindwa hata kuomba namba

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu japo tulikuwa wote pale kwa siku kadhaa, lakini alikuwa yuko busy na bwana yake. Siku hiyo kulikuwa kuna party beach usiku hapohapo hotelini, kuna vibanda flani vimejengwa vya kupumzikia wageni huko beach ukitaka kupumzika unalipia unakaa humo ni kama chumba kabisa kuna godoro lakini kiko wazi pande zote juu tu ndipo kumeezekwa paa la majani haya ya kisasa.

Kipindi disco linaendelea huku, yeye wako na bwana ake wanakulana denda kwenye hicho kibanda kilicho wazi.. sasa hapo unaweza kumfata na wanaendelea kupiga pombe wako chakari balaaa na ni maeneo hayohayo..
 
Uzuri nasisi tunawacrush kina Idris sultan ngoma drop sis[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hadi tukakutane kwenye ndoa tumeshatulia wote
tatizo hili sasa
 
Tunaishi nae kama mke na mme,najipigia tu mipaipu kadri navyoona inafaa
 
Mi nataka kujua anjela damas Yuko wapi niwahi muona kipindi fulani na kile kigari chake Suzuki jimny cheupe miaka Kama 17 iliyopita alikuwa mrefu mweupee na mzuri kweli kweli .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…