Yuko wapi Lisa Jensen, aliyekuwa Miss Tanzania namba mbili 2006?

Sasa demu akishakuwa Mama huruma a.k.a shirika la ugawaji nchini huo urembo wake unakuwa na maana gani kwa mfano?!

Mwanamke anakuwa na wapenzi wa kila namna wasanii, wanasiasa, wafanyabiashara, watu baki, n.k.

Raha ya mtoto wa kike awe na utulivu na tabia njema kwa ujumla.
 
mzee kichwani uko njema kweli?
2012 bwana aliyekuwa naye tulipokutana huko Melia Hotel ni kibwana mdogo tu cha kawaida sana

Acha uzwazwa wanalika tu hawana maajabu
Kwahyo ukamwona mwana mdogo mdogo ukaona yuko kama wew...mwwnzio ana mali za urithi
 
Demu mkali kuliko mamiss wote alikuwa wema, coz nimewaona wote live

Ila sasa hivi ni kachakaa balaa

Pombe, club, shisha , paipu etc ukiendekeza unakuwa kituko
Huwez fananisha lisa na wema hata sku1..sio kwa sura ile na mwanya ule.wema yuko jucy tuu ila sio mzur kivilee
 
Mcheki kwenye Hii Akaunti ya Instagram Hii hapa chini kwa picha[emoji116]
Name....Lisazagar
 
Huyo lisa wa mabeste umaarufu wake umetokana na nini ?
Alikuwa ni mke wa Mabeste so naye akapata umaarufu kwa kuwa mke wa jamaa,pia anaproject zake za utalii wa ndani na mambo ya talent na nini,kama yupo humu atakuja mwenyewe kukujuza vizuri juu ya hili
 
Alikuwa ni mke wa Mabeste so naye akapata umaarufu kwa kuwa mke wa jamaa,pia anaproject zake za utalii wa ndani na mambo ya talent na nini,kama yupo humu atakuja mwenyewe kukujuza vizuri juu ya hili
Hawezi kujifunua humu, anajua wapwa watampopoa mawe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…