Ukisikia changamoto ndio hizi sasasijui wapi ila kaolewa na kazaa mtoto
Mmmmmh!Kamisiwa mtu dada shemeji...kama mimi nikimuulizia Heaven Sent
Abar yako....Mmmmmh!
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]Abar yako....
Dah[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Ukisikia changamoto ndio hizi sasa
Hapana mkuu, nilitaka kusuza rungu tu kwa mdaulitaka umuoe?
AbeeeeeeeeeKamisiwa mtu dada shemeji...kama mimi nikimuulizia Heaven Sent
Ohoo basi nimewachanganya mkuu
Aah yaani huko jamaa mademu wanalika balaamkuu umemsahau babu Ludenga...yule jamaa kala sana
hahaAah yaani huko jamaa mademu wanalika balaa
Samahanini wapwa zangu kwa kuwaingilia!
Hivi mnafanyaje kuyajua na kuyafadhi haya mambo kwa kiwango hichi?
Samahanini wapwa zangu kwa kuwaingilia!
Hivi mnafanyaje kuyajua na kuyafadhi haya mambo kwa kiwango hichi?
Hahaha! Asante mkuuHahahha mkuu! Tunayahifadhi kawaida tu kama wale wa siasani, Jamii intelligence, jukwaa la teknolojia na kwingineko.
Demu ni moto wa kuotea mbalikabisa hata mimi ndicho nilichomuambia, Jokate ni mrembo kuzidi wema kama ukibahatika kuwaona live...sema wema ni maarufu
Na alikuwa anacheza movie na the Great Kanumba siku hizi hakuna mwenye habari naemara ya mwisho kumuona ni kwenye video ya diamond mawazo
Mond alipiga pale