Huyu mwanadada yuko wapi? Binafsi nampenda sana huyu mrembo...
Kipindi anashiriki hili taji na kushinda nafasi ya pili, bado nilikuwa shule DIT nilimtamani sana sema tu sikuwa na mavumba kipindi kile.
Mwaka 2012, Nilibahatika kukutana nae kwenye party ya usiku Melia Hotel, Kiwengwa - Zanzibar.., Sikupata hata fursa ya kumsemesha alikuwa ameambatana na mshikaji wake kamganda kinoma tangu kipindi hicho sijamsikia tena japo najaribu kutafuta habari zake mara kwa mara bila mafanikio, ni mda sahihi kwangu kujiweka karibu na Steve nyerere, kwake najua nitafanikisha hili.
Huyu nimeshajiapiza hata uzeeni lazma tukujozane, niko tayari kuvunja kibubu changu benki kwa ajili yake...kwani pesa kitu gani.
Hance Mtanashati na warumi nisaidieni kunijuza huyu mlimbwende yuko wapi sasa kabla sijatafuta connection ya steve