Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tata, yule ni mtu wa bunda?namuonaga mbezi beach huko kaolewa sijui na kifaru gani..ila ukihitaji zaidi nenda kwao Bunda ukamuulizie.
ndio tata.. mama ake ni mtu wa bunda,baba ake ndiyo mzungu sijui wa nchi gani huko..Tata, yule ni mtu wa bunda?
Kumbe huyu wa kwetu kabisa ngoja nimtafutendio tata.. mama ake ni mtu wa bunda,baba ake ndiyo mzungu sijui wa nchi gani huko..
usimsahau na Hamisa mobeto nae ni wa kwetu tata.ndio tata.. mama ake ni mtu wa bunda,baba ake ndiyo mzungu sijui wa nchi gani huko..
Mobeto katokea maeneo gani?usimsahau na Hamisa mobeto nae ni wa kwetu tata.
Sio mzuri, hana tako kabisaHuyu mwanadada yuko wapi? Binafsi nampenda sana huyu mrembo...
Kipindi anashiriki hili taji na kushinda nafasi ya pili, bado nilikuwa shule DIT nilimtamani sana sema tu sikuwa na mavumba kipindi kile.
Mwaka 2012, Nilibahatika kukutana nae kwenye party ya usiku Melia Hotel, Kiwengwa - Zanzibar.., Sikupata hata fursa ya kumsemesha alikuwa ameambatana na mshikaji wake kamganda kinoma tangu kipindi hicho sijamsikia tena japo najaribu kutafuta habari zake mara kwa mara bila mafanikio, ni mda sahihi kwangu kujiweka karibu na Steve nyerere, kwake najua nitafanikisha hili.
Huyu nimeshajiapiza hata uzeeni lazma tukujozane, niko tayari kuvunja kibubu changu benki kwa ajili yake...kwani pesa kitu gani.
Hance Mtanashati na warumi nisaidieni kunijuza huyu mlimbwende yuko wapi sasa kabla sijatafuta connection ya steve
Haha najua wewe unapenda tako mkuuSio mzuri, hana tako kabisa