Awamu ya tano imelala nao mbele, JF hawagawi ugali.Ni member waliokuwa active sana hasa kwenye jukwaa la Siasa kutetea vyama vyao, pamoja na utetezi huo kwa vyama walikuwa wakichangamsha jukwaa. Ni muda mrefu sasa member hawa wamepotea, kwa anayejua wapi watu hawa walipo atujulishe.
Huoni dogo Joseverest alivyoingia kwa fujo. Wadau tunamuangalia tu. Shemeji yake alivyomtimua tu, dogo haonekani kabisa hata page ya tanoAwamu ya tano imelala nao mbele, JF hawagawi ugali.
Iga kushinda JF ulale na njaa wakati wenzako wananenepa tu.
Hamna kitu, Ritz wa JF choka mbaya tu hana uhusiano wowote na Sultani wa Msoga.Eti Ritz naye anasusa kuchangia humu kisa mshua wake jeska alimpiga stop kuingia magogon Na kumwambiwa hakuna kuingiza makontena bila kulipa kodi Na kubana ile Flow miter ya mafuta kule bandarini
Ha ha ha una utani wa ngumi hatari mkuu.Hamna kitu, Ritz wa JF choka mbaya tu hana uhusiano wowote na Sultani wa Msoga.
Kukosekana kwake humu ni kasi ya awamu ya tano imelala nao mbele hata pesa ya bundle la chuo ni shida, hata kile kibibi Faiza Foxy nacho hali tete.
Insta yake ina followers zaidi ya 1.4m na sasa kaanzia App,aje kufanya nini humuHa ha ha una utani wa ngumi hatari mkuu.
Lara 1 naye kapotelea sijui wapi!
hahahaha ...Huoni dogo Joseverest alivyoingia kwa fujo. Wadau tunamuangalia tu. Shemeji yake alivyomtimua tu, dogo haonekani kabisa hata page ya tano
Ni kweli bidhaa zake anaita makinikiaKuna mmoja hapo huwa namuona fb anauza matakataka ya ulaya kwa mnada.
Wapo wafia chama wa upande wa pili mbona hamuwaulizii?Ha ha ha naona wafia chama wametoweka sijui ndo wameukwaa udc.
Yaani kabaki @barbossa na jingalao tu
Lukosi yupo Facebook huko,Lizaboni kaishiwa bundle na Mussa Allan yupo kwenye mgomo wa kutolipwa buku 7Ni member waliokuwa active sana hasa kwenye jukwaa la Siasa kutetea vyama vyao, pamoja na utetezi huo kwa vyama walikuwa wakichangamsha jukwaa. Ni muda mrefu sasa member hawa wamepotea, kwa anayejua wapi watu hawa walipo atujulishe.
Full makinikiaKuna mmoja hapo huwa namuona fb anauza matakataka ya ulaya kwa mnada.
Wrong, Lara 1 siyo Da Mange. Amini hivyo.Insta yake ina followers zaidi ya 1.4m na sasa kaanzia App,aje kufanya nini humu
Mussa Allan ni wale akina "Ulipo Tupo" sasa mamvi sasa hivi choka mbaya! Alitoka naye chama dume,akaenda naye Saccos, huko Mbowe anakaba ruzuku balaa! Hana hata hela ya bando!Lukosi yupo Facebook huko,Lizaboni kaishiwa bundle na Mussa Allan yupo kwenye mgomo wa kutolipwa buku 7