Yuko wapi Lizaboni, Chiss Lukosi, Mussa Allan.

Kanali G

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2013
Posts
9,898
Reaction score
14,413
Ni member waliokuwa active sana hasa kwenye jukwaa la Siasa kutetea vyama vyao, pamoja na utetezi huo kwa vyama walikuwa wakichangamsha jukwaa. Ni muda mrefu sasa member hawa wamepotea, kwa anayejua wapi watu hawa walipo atujulishe.
 
Awamu ya tano imelala nao mbele, JF hawagawi ugali.

Iga kushinda JF ulale na njaa wakati wenzako wananenepa tu.
 
Eti Ritz naye anasusa kuchangia humu kisa mshua wake jeska alimpiga stop kuingia magogon Na kumwambiwa hakuna kuingiza makontena bila kulipa kodi Na kubana ile Flow miter ya mafuta kule bandarini
 
Hamna kitu, Ritz wa JF choka mbaya tu hana uhusiano wowote na Sultani wa Msoga.

Kukosekana kwake humu ni kasi ya awamu ya tano imelala nao mbele hata pesa ya bundle la chuo ni shida, hata kile kibibi Faiza Foxy nacho hali tete.
 
Ha ha ha una utani wa ngumi hatari mkuu.
Lara 1 naye kapotelea sijui wapi!
 
Mi nna taarifa za baadhi
1. Tuanze na Mussa Allan huyu alikua ni mnazi na shabiki mkuu wa fisadi EL baada ya Lowasa kuhamia Chadema kwa aibu Mussa Allan akabadili ID na kujiita Msalani ili aendelee kumsapoti EL huko alikohamia.
2. Faiza Foxy kaamua kukaa tu kimya sababu huyu rais aliyeko madarakani hafanyi yale ambayo yeye na timu yake wanaona ni sawa....na kuhamia upinzani anaona aibu
 
Ni member waliokuwa active sana hasa kwenye jukwaa la Siasa kutetea vyama vyao, pamoja na utetezi huo kwa vyama walikuwa wakichangamsha jukwaa. Ni muda mrefu sasa member hawa wamepotea, kwa anayejua wapi watu hawa walipo atujulishe.
Lukosi yupo Facebook huko,Lizaboni kaishiwa bundle na Mussa Allan yupo kwenye mgomo wa kutolipwa buku 7
 
Back
Top Bottom