Chadema ilikuwa maarufu hata kabla ya Lowassa.Ila huyu mzee atakumbukwa kwa Mengi sana!
Ndio ambae chadema walijipatia umaarufu kupitia yeye
KWANI KUNA KIKUNDI GANI KINACHOSUMBUA KAMPENI ZA CCM MPAKA WAJEE HAO AKINA LOWASA??Mwanachama nguli wa CCM ambaye pia ni Waziri Mkuu mstaafu Edward Lowassa nilitegemea awe kwenye timu ya kampeni ya CCM wakati huu jahazi linapoelekea kuzama.
Au yeye ni kati ya Askari wa Akiba tunaoambiwa wataingia rasmi kipindi cha lala salama.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huyo mzee hana hamu na ccm ameamua kula pensheni yake taratibu hataki shida
[emoji23][emoji23][emoji23] atasema nini Sasa hata huyo lissu atamsema na ufisadi au nini maana 2015 walimsafisha sio fisadiWacha utani, yani Lowassa akauzime moto wa Lissu?! huo moto utamuunguza na yeye, bora aendelee kuwa mtazamaji tu kwa usalama wake.