Abul Aaliyah
JF-Expert Member
- Nov 8, 2016
- 7,718
- 5,899
Ngoja tumuulize mwanae fake aliyopo humu jukwaan
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lowassa aliwasaliti watanganyika 2015 kwa kukubali kwake kupokwa ushindiWacha utani, yani Lowassa akauzime moto wa Lissu?! huo moto utamuunguza na yeye, bora aendelee kuwa mtazamaji tu kwa usalama wake.
Katika mambo ambayo sitawasamehe Chadema ni kumpa upendeleo Lowassa over Dr Slaa.Mnafikiri Lowassa alikuwa na mvuto wowote? Alibebwa tu na UKAWA kipindi kile tena CDM wangejua wangemuacha DR Slaa.Kwa Lowassa walipoteza mno.Lowassa zaidi ya pesa sidhani Kama ana ushawishi wowote
Mbowe ni akili kubwa huoni alicho kitaka sasa kapumzika Lisu anagongaMnafikiri Lowassa alikuwa na mvuto wowote? Alibebwa tu na UKAWA kipindi kile tena CDM wangejua wangemuacha DR Slaa.Kwa Lowassa walipoteza mno.Lowassa zaidi ya pesa sidhani Kama ana ushawishi wowote
Kama kinachompata Ruto kwa sasa huko Kenya, anajuta kumtambua Uhuru. Anaitwa Mr tangatanga. Hahahaha!!!!Mzee wa watu walimchomfanyia si kizuri .Acha ajilie vya kunyonga. JK alichomfanyia si cha nchi hii. Usimwamini Rafiki,eti gombea nikusapoti,utanisapoti ukimaliza muda wako.BIG Non.Angejua angechukua form 2005.
Labda anaumwa sio bure aisee.Mwanachama nguli wa CCM ambaye pia ni Waziri Mkuu mstaafu Edward Lowassa nilitegemea awe kwenye timu ya kampeni ya CCM wakati huu jahazi linapoelekea kuzama.
Au yeye ni kati ya Askari wa Akiba tunaoambiwa wataingia rasmi kipindi cha lala salama.
Wote wanafiki anakula alichopanda.Mzee wa watu walimchomfanyia si kizuri .Acha ajilie vya kunyonga. JK alichomfanyia si cha nchi hii. Usimwamini Rafiki,eti gombea nikusapoti,utanisapoti ukimaliza muda wako.BIG Non.Angejua angechukua form 2005.
Na ndio maana Lowasa hakwenda CUF alikuja ChademaChadema ilikuwa maarufu hata kabla ya Lowassa.
Mnafiki yule.mzeeKachoka sana juzi nilimuona mara mbili akishuka kwenye Precision air Arusha anasapotiwa kupanda na kushuka kwenye gari lake
Kumbe tulizuzuka tu na umati wa kusomba na maloriMnafikiri Lowassa alikuwa na mvuto wowote? Alibebwa tu na UKAWA kipindi kile tena CDM wangejua wangemuacha DR Slaa.Kwa Lowassa walipoteza mno.Lowassa zaidi ya pesa sidhani Kama ana ushawishi wowote
Fighter la maana yaani Li-TysonHehhehe umenichekesha sana. Mzee keshachoka. Akiingia Lissu atampa mboli tatu za uso hadi akae chini.
In short Lissu ni fighter ambaye nchi hii hajawahi kutokea
Maskini kanajipa moyo. Akina Sumaye wamejaribu wakakimbia pambano, akina JK wameletwa wakakimbia pambano, kinana kaja kuzuga tu lakini kalazimishwa. Ccm hoi.Jahazi kamwe haliwezi kuzama,Naona linazidi kupepea.
Hakuna mwenye uwezo wa kulizamisha Jahazi la JPM,TAL hana jipya zaidi ya Malalamiko yaliyojaa kejeli badala ya sera kwa watanzania wenye uhitaji wa kusikia anautaka Urais wa nn Kwa kipindi hiki ambapo ni dhahiri hawez kushinda kabisa.