Uchaguzi 2020 Yuko wapi Lowassa asaidie kampeni?

Mnafikiri Lowassa alikuwa na mvuto wowote? Alibebwa tu na UKAWA kipindi kile tena CDM wangejua wangemuacha DR Slaa.Kwa Lowassa walipoteza mno.Lowassa zaidi ya pesa sidhani Kama ana ushawishi wowote
Katika mambo ambayo sitawasamehe Chadema ni kumpa upendeleo Lowassa over Dr Slaa.

Dr Slaa angempa spana Meko hadi angekimbia nchi.
 
Mnafikiri Lowassa alikuwa na mvuto wowote? Alibebwa tu na UKAWA kipindi kile tena CDM wangejua wangemuacha DR Slaa.Kwa Lowassa walipoteza mno.Lowassa zaidi ya pesa sidhani Kama ana ushawishi wowote
Mbowe ni akili kubwa huoni alicho kitaka sasa kapumzika Lisu anagonga
 
Mzee wa watu walimchomfanyia si kizuri .Acha ajilie vya kunyonga. JK alichomfanyia si cha nchi hii. Usimwamini Rafiki,eti gombea nikusapoti,utanisapoti ukimaliza muda wako.BIG Non.Angejua angechukua form 2005.
Kama kinachompata Ruto kwa sasa huko Kenya, anajuta kumtambua Uhuru. Anaitwa Mr tangatanga. Hahahaha!!!!
 
Lab
Mwanachama nguli wa CCM ambaye pia ni Waziri Mkuu mstaafu Edward Lowassa nilitegemea awe kwenye timu ya kampeni ya CCM wakati huu jahazi linapoelekea kuzama.

Au yeye ni kati ya Askari wa Akiba tunaoambiwa wataingia rasmi kipindi cha lala salama.
Labda anaumwa sio bure aisee.
 
Mzee wa watu walimchomfanyia si kizuri .Acha ajilie vya kunyonga. JK alichomfanyia si cha nchi hii. Usimwamini Rafiki,eti gombea nikusapoti,utanisapoti ukimaliza muda wako.BIG Non.Angejua angechukua form 2005.
Wote wanafiki anakula alichopanda.
 
Mnafikiri Lowassa alikuwa na mvuto wowote? Alibebwa tu na UKAWA kipindi kile tena CDM wangejua wangemuacha DR Slaa.Kwa Lowassa walipoteza mno.Lowassa zaidi ya pesa sidhani Kama ana ushawishi wowote
Kumbe tulizuzuka tu na umati wa kusomba na malori
 
Maskini kanajipa moyo. Akina Sumaye wamejaribu wakakimbia pambano, akina JK wameletwa wakakimbia pambano, kinana kaja kuzuga tu lakini kalazimishwa. Ccm hoi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…