Yuko wapi Makamu wa Rais Dk. Philip Mpango?

Nakumbuka mwendazake alimtoa hospitalini ili aongee kuthibitisha yuko salama. Mzee alikohoa mpaka akatia huruma...
Alitoa ushuhuda chini ya uangalizi maalum kama mzee wetu Assad?
 
Kuna tatizo ndio maana wameona Dr Nchimbi arejee nchini haraka kucover.

Upepo unabadilika muda wowote tusubiri sherehe zipite uenda kukawa na 'sherehe' nyingine. Mark my words!
 
Sawa tangia uende Ziara yako kule Singapore Watanzania hatujapata Taarifa yoyote ile ya Urejeo wako nchini halafu Siku hizi wanaosikika mno ni #1 na #3 tu na Wewe #2 ni kama umeshafunikwa na upo upo tu?
Namba kwa kawauda huwa hana kazi,ila mama samua ndio anampa extra work no 2,kwani enzi za magu ulikuwa unamuona samia?

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Sawa tangia uende Ziara yako kule Singapore Watanzania hatujapata Taarifa yoyote ile ya Urejeo wako nchini halafu Siku hizi wanaosikika mno ni #1 na #3 tu na Wewe #2 ni kama umeshafunikwa na upo upo tu?
Unatafuta kumchafulia ulaji tu, huna lolote.

Unataka amfunike huyo namba moja, halafu...?

Mwache mwenzio afaidi matunda ya nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…