Genius Man JF-Expert Member Joined Apr 7, 2024 Posts 3,558 Reaction score 7,935 Jun 21, 2025 #1 Yuko wapi Makonda simuoni kwenye vichwa vya habari au na yeye ni no reforms no ELECTION kama wakina mpina ? Makonda amepoa sana kuelekea uchaguzi mkuu vipi anaunga mkono yanayoendelea au haungi mkono.
Yuko wapi Makonda simuoni kwenye vichwa vya habari au na yeye ni no reforms no ELECTION kama wakina mpina ? Makonda amepoa sana kuelekea uchaguzi mkuu vipi anaunga mkono yanayoendelea au haungi mkono.
G Gypsum Screw JF-Expert Member Joined Jun 10, 2024 Posts 1,624 Reaction score 1,937 Jun 21, 2025 #2 unayemuona kwenye vichwa vya habari nani?
kitalembwa JF-Expert Member Joined Jul 12, 2014 Posts 8,216 Reaction score 21,914 Jun 21, 2025 #3 Mmbuge ajae wa Arusha,,,, Waziri mtarajiwa !!!! Ndo tulipofikia Maji ni machungu sana inabidi tuyanywe tu
Mmbuge ajae wa Arusha,,,, Waziri mtarajiwa !!!! Ndo tulipofikia Maji ni machungu sana inabidi tuyanywe tu
A Anonymous Caller JF-Expert Member Joined Sep 8, 2016 Posts 1,434 Reaction score 1,930 Jun 22, 2025 #4 Lema alikuwa na mteremko sana mwaka huu sema basi tu....Albert msando hagombei