Lundenga alitukazia sana dada zetu yule bwegeMuda ni hakimu, enzi hizo za kimobiteli, mademu wakali mjini wanamegwa na watoto wa mjini kwa kuhongwa chaser mayai ma Mark II hizi hizi za milioni 1.5 leo.
Starehe, starehe kweli kwa macheni enzi hizo. viwanja vikali Sinza enzi hizo. Mtu mzima Hashim Lundenga yupo hai?
Enzi hizo ARV lazima uwe na hela na connection, leo tunawapa Nguruwe ARV. Nimekumbuka mbali mhenga mie😁
Mtoni kwa Azizi Ali?Yuko mtoni kitambo sana
Hii dini sasa inatumika vibayaUnaoa, unamla, unamtwanga talaka, unatafuta mwingine. So nafasi zako za kuoa unakua hauzijazi.
Kila unayemtaka anajiona anakuja kuwa mke wa pili na wewe kazi yako inakua ni kuwagongea ndani ya ndoa na kuwapiga talaka.
Kwa data zilizopo, ni kigogo pale OUT, ni msomi wa Sheria akibobea katika eneo la Constitutional and International Law. Nenda pale OUT kaulize.
BAshe kamzalisha mbiki,bwana ake BONA alikuja kimya kimya dodoma akamfuma akiwa na bashe,ndoa ikavunjikaBashe ana wake wangapi?
Si amemwoa mbunge wa Segerea pia?
Unaoa, unamla, unamtwanga talaka, unatafuta mwingine. So nafasi zako za kuoa unakua hauzijazi.
Kila unayemtaka anajiona anakuja kuwa mke wa pili na wewe kazi yako inakua ni kuwagongea ndani ya ndoa na kuwapiga talaka.
Lakini si angalau wana wagongea ndani ya ndoa badala ya kuwagongea guest na majanini😃Wanaume wa kiislam wahuni ndio mambo yao haya. Wanaoa wanagonga wakichoka wanapiga talaka. Wanaoa mwingine
Masudi kipanya na haji manara ndio mambo yao haya.
Kumbe jamaa yuko vyema kutafuna hadi wake za watu?BAshe kamzalisha mbiki,bwana ake BONA alikuja kimya kimya dodoma akamfuma akiwa na bashe,ndoa ikavunjika