Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Lundenga alitukazia sana dada zetu yule bwegeMuda ni hakimu, enzi hizo za kimobiteli, mademu wakali mjini wanamegwa na watoto wa mjini kwa kuhongwa chaser mayai ma Mark II hizi hizi za milioni 1.5 leo.
Starehe, starehe kweli kwa macheni enzi hizo. viwanja vikali Sinza enzi hizo. Mtu mzima Hashim Lundenga yupo hai?
Enzi hizo ARV lazima uwe na hela na connection, leo tunawapa Nguruwe ARV. Nimekumbuka mbali mhenga mie😁