Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Twambie wewe basi unayejua alipo.Acha kuzungumza vitu usivyovijua, hiyo ni roho ya kishetani uliyonayo
Mnaficha nini sasa?Acha kuzungumza vitu usivyovijua, hiyo ni roho ya kishetani uliyonayo
Mmeanza kuulizia tena!? Atakuwa yupo anapiga kazi.
Au MagomeniMlitaka aende Kariakoo
Waziri kazi maalum!!!!Aliwahi kuwa waziri wa utawala bora awamu hii nikasikia amepangiwa kazi maalumu... Sijamuona kwenye uapisho pia sijabahatika kumuona Bungeni yuko wapi Mbunge wangu?
Afya yake sio nzuri ila kwa mbali ameanza kuwa poaAliwahi kuwa waziri wa utawala bora awamu hii nikasikia amepangiwa kazi maalumu... Sijamuona kwenye uapisho pia sijabahatika kumuona Bungeni yuko wapi Mbunge wangu?
Watu kama myie mnakuaga wanoko sana na afu mna viheherere vingi kazini!Halafu ukishajua aliko?
Wewe ni jimbo!!??Maswali ya Kishamba haya nishakwambia mbunge wangu!
Hii itakua kama ile ya Nimrod Mkono come 2025 or lessAliwahi kuwa waziri wa utawala bora awamu hii nikasikia amepangiwa kazi maalumu... Sijamuona kwenye uapisho pia sijabahatika kumuona Bungeni yuko wapi Mbunge wangu?
Nipo wodi ileile tulikuwa tunakaaBado hujatoka Mirembe?