Yuko wapi member Gentamycine?

Kwa umbea huu wa kunisingizia mambo nisiyoyajua nafikiri MUMEO ana kibarua pevu mno.
 
Hana la kutuletea kwani kina Mpiana na Werason wamekwisha kimuziki na muziki wa Kongo (DR) kwa sasa huko ICU.....uliza yeyote anayejuwa muziki wa Kongo atakuambia hivyo. Hawa jamaa wamekwisha kabisa kimuziki na hawana jipya.
Kwahiyo amefulia?
 
Kwa umbea huu wa kunisingizia mambo nisiyoyajua nafikiri MUMEO ana kibarua pevu mno.
Dah asee Nasikitika Hujanielewa. Wakati mwingine relax hatugombani brother sisi ni ndugu Nimejaribu tu kuwasilisha nachofikiri Kwa KUWA mtu hajatazwi kufikiri sikuwa na Nia ovu. Nimeleta hoja hapo JUU kwamba nahisi wewe ndio gentamicine. Mawazo
 
Simfahamu huyo Member
 
Aliolewa na Msomali last week, Raia tumekula sana bia

Juzi jioni kaondoka na mmewe kwenye makazi yao huko somalia
 
Niliona nimpuuze tu, kwani hanijui simjui vilevile mi nilimvizia ligi ya ana kwa ana dizaini kama alinikwepa ,nikajua kumbe ligi ya ana kwa ana haiwezi mjinga yule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…