MNYAMAKAZI
JF-Expert Member
- Oct 7, 2014
- 2,118
- 2,195
Atakuwa ndio alimuiba John the Rhino, kajificha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa umbea huu wa kunisingizia mambo nisiyoyajua nafikiri MUMEO ana kibarua pevu mno.Nimegundua ni wewe mwenyewe gentamicine baada ya kuona yafuatayo
Kuna thread umeanzisha UNAZUNGUMZIA maswala ya radio najua pia gentamicine huwa ni mdau kwenye tasnia ya habari
Kuna Maada ya mambo ya usalama sijui wa viongozi nayo pia ni agenda ya gentamicine
Nimeona unasifia mawaziri wa serikali
Pia wewe ni mwanaccm kama ilivyo Kwa account ya gentamicine
Wewe ndiye..
Hence proved
Kwahiyo amefulia?Hana la kutuletea kwani kina Mpiana na Werason wamekwisha kimuziki na muziki wa Kongo (DR) kwa sasa huko ICU.....uliza yeyote anayejuwa muziki wa Kongo atakuambia hivyo. Hawa jamaa wamekwisha kabisa kimuziki na hawana jipya.
Dah asee Nasikitika Hujanielewa. Wakati mwingine relax hatugombani brother sisi ni ndugu Nimejaribu tu kuwasilisha nachofikiri Kwa KUWA mtu hajatazwi kufikiri sikuwa na Nia ovu. Nimeleta hoja hapo JUU kwamba nahisi wewe ndio gentamicine. MawazoKwa umbea huu wa kunisingizia mambo nisiyoyajua nafikiri MUMEO ana kibarua pevu mno.
cc GENTAMYCINE>>>>Mdhamini wake hapa JF ametumbuliwa.... Hana tena PESA za bando
Simfahamu huyo MemberDah asee Nasikitika Hujanielewa. Wakati mwingine relax hatugombani brother sisi ni ndugu Nimejaribu tu kuwasilisha nachofikiri Kwa KUWA mtu hajatazwi kufikiri sikuwa na Nia ovu. Nimeleta hoja hapo JUU kwamba nahisi wewe ndio gentamicine. Mawazo
Humfahamu Kivipi wakati ndio tunayemjadili katika MaadaSimfahamu huyo Member
....teh hee hee...popoma kaamua kujianzishia thread!
..basi sawa!
Lete Ushahidi
Kwahiyo amefulia?
Kwa mfululizo wa majibu haya, naungana na ndege JOHN kuwa wewe ndiye Gentamycne mwenyewe. Kutoka majibu yake mpaka muandiko wake, jamaa wa kujisifu na kujiona. Hebu karudi na ID yako ya kawaida bhanah Mkuu.Kwa umbea huu wa kunisingizia mambo nisiyoyajua nafikiri MUMEO ana kibarua pevu mno.
.....mkuda mzee wa vichenchede huku utakuwa umepita kwa bahati mbaya tu;jukwaa lako si lileeee lenye mamiss miss kibao!We mkuda kumbe unakimbiliaga wapi aisee?