juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,467
Mkuu mbona unajishushia heshima yako? Ujue we ni moja kati ya members wa humu ninaowaheshimu?Labda ni wewe mwenyewe ndugu.!
Yote ni majibuHuenda amebadili ID au yuko offline kwa muda
Hata wewe jaribu kumtafuta mkuu,au wewe hakuhusu?Jaribu kumtafuta PM
Mkuu kweli riwaya umetutupa mkono, sikuoni ukimalizia baadhi ya hadithi ulizozianzishaLabda ni wewe mwenyewe ndugu.!