Yuko wapi member mwenzetu aitwaye TECHNICALLY?

Yuko wapi member mwenzetu aitwaye TECHNICALLY?

juvenile davis

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2015
Posts
4,752
Reaction score
4,467
Huyu member alikuwa anaanzisha sana nyuzi hapa kwenye jukwaa la siasa,nakumbuka uzi wake mmoja ulishawahi kujibiwa na waziri wa mambo ya ndani Mh.Mwiguru Nchemba.nadhani ule ulikuwa ni uzi wake wa mwisho hapa .sijaona akiwekaa tena uzi wala akichangia nyuzi zingine.nimetembelea karibu majukwaa tofauti sijamuona ,je yupo wapi huyu member mwenzetu? Au amebadilisha ID?
 
Yupo ila amebal ID, ila Blv me JF member ataweza Afe tusijue
 
Hakika nimemkumbuka sana technically yani sijui yuko wapi Leo nimejikuta nimekumbuka sana baadhi ya nyuzi zake matata hapa Jf
 
Back
Top Bottom