Yuko wapi Member mwenzetu Magonjwa Mtambuka

Na ISIS sijui kafia wapi na "WALAHI" zake. Member anaeongoza kunitukana humu JF haijawahi kutokea toka mungu kaumba mbingu.

Namuomba sana mungu siku ya kiama, asinipe kazi ya kuongoza malaika kama "JIWE" anavyojipigia debe. Anipe kazi ya "KUMCHOMA MOTO NA KUMPA ADHABU KALI KALI" huyu mdudu wa JF ISIS. Kazi yangu iwe ni "KUBUNI" adhabu mpya mpya kwaajili yake.
 
Watakuwa wamebadilisha ID tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…