Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na ISIS sijui kafia wapi na "WALAHI" zake. Member anaeongoza kunitukana humu JF haijawahi kutokea toka mungu kaumba mbingu.
Namuomba sana mungu siku ya kiama, asinipe kazi ya kuongoza malaika kama "JIWE" anavyojipigia debe. Anipe kazi ya "KUMCHOMA MOTO NA KUMPA ADHABU KALI KALI" huyu mdudu wa JF ISIS. Kazi yangu iwe ni "KUBUNI" adhabu mpya mpya kwaajili yake.
Ni Ephraim KibondeHuyu jamaa alikuwa pro-CCM kweli kweli. Nahisi atakuwa ni Humphrey Polepole
Kaolewa na kangi lugolaAman iwe nanyi wakuu
Huyu member mwenzetu magonjwa mtambuka wapi alipo mbona haonekani kabisa kwa sasa
Amepatwa na nini aiseeView attachment 1276307
Huyu ndiye KARLO MWILAPWA kabadilisha id kwa mudaAman iwe nanyi wakuu
Huyu member mwenzetu magonjwa mtambuka wapi alipo mbona haonekani kabisa kwa sasa
Amepatwa na nini aiseeView attachment 1276307