Mpunga gani unavunwa pande hii miezi hii? Au ni mambo ya tasfida?Yuko Morogoro anavuna mpunga
Ngoja waje masikini wenye habari za tajiri
Tajiri anaishi Koma koma? Acheni utani bhana.Hussein Miraj Farouk ndio jina lake kamili by then akiishi Mwananyamala koma koma, alifunga kampuni kama tu ambavyo Sumry alifunga kampuni na kuhamia kwenye kilimo.
Kumbuka , biashara ya nguo ilikuwa zuga tu, huenda kuna biashara zaidi na ndio utaona vijana wengi wa Kino walilzzimika kufunga kazi zao .
KabisaJamaa aliteka kipindi cha Jioni choote katika Tinga nambari moja kwa Vijana, EATV.
Kila baada ya dakika tano utasikia Pata oamba kali, nimevalishwa na Husseiiiinnn Pamba kali.
Namuombea kama anafanikiwa kwa hustles zake, basi abarikiwe na arejee fena.
Akumbe Winners Never Quit.
Kila mtu na Siri yakeIla kina vunja bei wana maduka kama yeye mbona wapo?