Yuko wapi mfanyabiashara na tajiri Hussen Pambakali?

Yuko wapi mfanyabiashara na tajiri Hussen Pambakali?

Jamaa aliteka kipindi cha Jioni choote katika Tinga nambari moja kwa Vijana, EATV.

Kila baada ya dakika tano utasikia Pata pamba kali, nimevalishwa na Husseiiiinnn Pamba kali.

Namuombea kama anafanikiwa kwa hustles zake, basi abarikiwe na arejee tena.

Akumbe Winners Never Quit.
 
Ngoja waje masikini wenye habari za tajiri
Hussein Miraj Farouk ndio jina lake kamili by then akiishi Mwananyamala koma koma, alifunga kampuni kama tu ambavyo Sumry alifunga kampuni na kuhamia kwenye kilimo.
Kumbuka , biashara ya nguo ilikuwa zuga tu, huenda kuna biashara zaidi na ndio utaona vijana wengi wa Kino walilzzimika kufunga kazi zao .
Tajiri anaishi Koma koma? Acheni utani bhana.
 
Jamaa aliteka kipindi cha Jioni choote katika Tinga nambari moja kwa Vijana, EATV.

Kila baada ya dakika tano utasikia Pata oamba kali, nimevalishwa na Husseiiiinnn Pamba kali.

Namuombea kama anafanikiwa kwa hustles zake, basi abarikiwe na arejee fena.

Akumbe Winners Never Quit.
Kabisa
 
Back
Top Bottom