sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Una akili za kitoto sana hata uwe na umri gani ila utoto umekujaa, hujielewi.Kaka yako unamuita mtoto tena
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una akili za kitoto sana hata uwe na umri gani ila utoto umekujaa, hujielewi.Kaka yako unamuita mtoto tena
Ova
Yuko studio katuliaBongo wauza nguo walivimba sana, nakumbuka kuna wakati Zizzou Fashion alikimbiza sana. Siku hizi kimyaaa!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaa mnoo.Niliwah jiokoteza miaka fulani nikaenda madukani kwao pale kinondoni, daah nikatafuta nguo sion hata moja ya kununua, nikajisemea labda mm ndo mshamba maana mashati hayaeleweki, mapicha picha tuuu kwenye nguo. Nikasaini out
Ngome ndo wapi mkuuPamba Kali yupo ngome na kina Chonchi sema wanaishi vizuri kinoma, asubuhi wanafanya mazoezi, wanakula vyakula special.
Mkuu kweli vile, sikuona pamba mle.....labda mm ndio tatizo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaa mnoo.
Au yuko chaka Baraka de prince analima mahindi?Yuko Morogoro anavuna mpunga
Morogoro sehem gani,?Yuko Morogoro anavuna mpunga
Mang'ulaMorogoro sehem gani,?
Nilitaka kumuulizia huyu.Na yule wa kuitwa Makoba alipotelea wapi?
makoba yupo kariakoo pale msimbazi polisi upande wa kulia kama unaenda kuungana na barabara ya mtaa wa kongo anaduka la nguo pale limeandikwa makobaNilitaka kumuulizia huyu.
Alijitahidi maana alimiliki majumba kadhaa.
Mtu wa musoma huyu.
Nakumbuka "Kwa Makoba" Enzi hizokariakoo kibiashara isikie unakuwa nyangumi mwanzoni mwishoni unaishia kambale la matopeni.
OK.makoba yupo kariakoo pale msimbazi polisi upande wa kulia kama unaenda kuungana na barabara ya mtaa wa kongo anaduka la nguo pale limeandikwa makoba
Ila ile fremu inatua huruma. Haionekani kuwa na dalili za Uhai.makoba yupo kariakoo pale msimbazi polisi upande wa kulia kama unaenda kuungana na barabara ya mtaa wa kongo anaduka la nguo pale limeandikwa makoba
Ahahahahaaaa mbavu zangu huku.Mkuu kweli vile, sikuona pamba mle.....labda mm ndio tatizo.
Bei zake sasa hilo shati baya baya full mipicha ya magari bei 90,000 kuendelea
Kuna hatihati pia Sandaland akaishia kubaya... na hivi hasaidii ndugu zake 😥... aombe mungu 😂🙌🏾kariakoo kibiashara isikie unakuwa nyangumi mwanzoni mwishoni unaishia kambale la matopeni.
Ila kina vunja bei wana maduka kama yeye mbona wapo?