johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Get well soon comrade Mabere MarandoKwamba huna taarifa kuwa mzee Marando ni mgonjwa alipata stroke miaka kadhaa iliyopita?
Sina Taarifa hiyo bwasheeKwamba huna taarifa kuwa mzee Marando ni mgonjwa alipata stroke miaka kadhaa iliyopita?
Wewe si kila jambo la CHADEMA unadai kulijua ndio maana nashangaaSina Taarifa hiyo bwashee
Mungu wa mbinguni amfanyie wepesi awe na afya Njema!
Hili sijalijua!Wewe si kila jambo la CHADEMA unadai kulijua ndio maana nashangaa
Utakuwa wewe ni mzambia ndio maana hujui alipoKwani Prof Baregu yeye yuko wapi?
Reli ya kwenda Kigoma ni moja wacha treni ifike kwanza kisha ianze ya kurudi hiyo itambeba huyo.Ni muda mrefu sasa nguli Huyu wa siasa za Upinzani nchini hajaonekana Kwenye majukwaa ya Siasa za Chadema
Yuko wapi Mzee Marando?
cc: Mrangi Ufipa st, Kinondoni Shamba
Kwanza kbs mzee mabere nyaucho marando kwa sasa sio mjumbe wa kamati kuu ya chadema tangia 2015 ... alipata stroke lkn alishapona na yuko zake madareSina Taarifa hiyo bwashee
Mungu wa mbinguni amfanyie wepesi awe na afya Njema!
Unatafutwa jukwaaniNi muda mrefu sasa nguli Huyu wa siasa za Upinzani nchini hajaonekana Kwenye majukwaa ya Siasa za Chadema
Yuko wapi Mzee Marando?
cc: Mrangi Ufipa st, Kinondoni Shamba
We jamaaHili sijalijua!