Yuko wapi Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema Mzee wetu Marando?

Yuko wapi Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema Mzee wetu Marando?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Ni muda mrefu sasa nguli Huyu wa siasa za Upinzani nchini hajaonekana Kwenye majukwaa ya Siasa za Chadema

Yuko wapi Mzee Marando?

cc: Mrangi Ufipa st, Kinondoni Shamba
 
Chadema wamemtelekeza, hawa watu wabinafsi sana, wanazurura ulaya na marekani hawasaidii watu muhimu kwa Chama chao
 
Ni muda mrefu sasa nguli Huyu wa siasa za Upinzani nchini hajaonekana Kwenye majukwaa ya Siasa za Chadema

Yuko wapi Mzee Marando?

cc: Mrangi Ufipa st, Kinondoni Shamba
Reli ya kwenda Kigoma ni moja wacha treni ifike kwanza kisha ianze ya kurudi hiyo itambeba huyo.
 
Anasumbuliwa sana na mtibwa sugar
Kwa muda mrefu sana,I hope atakuwa anaendelea vyema

Ila no moja ya watu poa sana mkikutana na kupiga stori

Ova
 
Back
Top Bottom